PICHANAI Muonekano wa bweni la wasichana la shule ya Sekondari Nyasa kata ya Chiwanda Wilayani Nyasa mkoani Ruvuma likiwa limekamilika na kuanza kutumika.
Serikali imetoa TSH milioni 40 Kwa ajili ya ukamilishaji wa bweni hili.
Kukamilika Kwa Bweni hili kumetatua changamoto ya wanafunzi wa kike walikuwa wanatembea umbali mrefu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.