Serikali imetoa shilingi milioni 560 kutekeleza mradi wa ujenzi wa sekondari mpya iliyopewa jina la Dkt Lawrence Gama ,mradi ambao unatekelezwa katika mtaa wa Mtaungana kata ya Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Msingi (SEQUIP).
Kamati ya Siasa ya CCM inaendelea na ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zote nane mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.