SERIKALI imetoa shilingi milioni 905 kuboresha miundombinu ya sekondari ya Emanuel Nchimbi iliyopo kata ya Msamala mjini Songea mkoani Ruvuma.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi huo unaohusisha ujenzi wa mabweni matano,madarasa kumi na matundu 15 ya vyoo.
Shule hiyo inatekeleza mradi huo kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu ili kupokea wanafunzi 524 wa kidato cha tano mwaka 2023/2024 ambapo hadi sasa mradi umefikia asilimia 95
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.