MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Mkuu wa Wiliya ya Songea Mhe, Pololet Mgema walipotembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Matomondo-Mlale inayojengwa katika halmashauri ya Wilaya ya Songea,
Barabara hiyo ambayo inajumla ya kilomita 22 ambapo ujenzi wa barabara lami nyepesi kilomita tatu na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha changarawe kilomita 19. Kwa ujumla hadi sasa mradi huo umefikia asilimia 65 zautekelezaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.