MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameipongeza sekta ya elimu mkoani Ruvuma kwa kuboresha ufaulu .Mkuu wa Mkoa ametoa pongezi hizo kwenye kikao cha ushauri cha Mkoa RRC kilichofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=C8ov1MkKlYo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.