Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi wakuu wa Wilaya watatu magari mapya yaliyonunuliwa na serikali ya Awamu ya Sita ili kuwarahisishia usafiri wakuu wa wilaya wanapokwenda kuwahudumia wananchi.
Wakuu wa Wilaya walionunuliwa magari mapya na kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru,Namtumbo na Mbinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.