Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekataa kukabidhi madawati 50 na meza 10 katika shule ya msingi Mtakanini Halmashauri ya Namtumbo.Samani hizo zilizogharimu shilingi milioni 4 zimetengenezwa chini ya viwango.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=W5POfle51kk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.