Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed picha ya juu kulia akiwa katika kaburi la aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Hayati Dkt Lawrence Gama ambaye alizikwa kijiji cha Amanimakoro wilayani Mbinga.
Dkt Gama anakumbukwa kwa mambo mengi aliyoyafanya ikiwemo kusimamia ujenzi wa uwanja wa Majimaji ,Makumbusho ya Taifa ya Majimaji,kuanzisha na kusimamia Timu ya Majimaji iliyoutangaza Mkoa kitaifa na kimataifa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.