JAMII imeendelea kuathirika kutokana ka uvutaji bangi katika wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma,hali hiyo imemsukukuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kuwaomba viongozi wa umoja wa makanisa wilayani Songea kufanya maombi maalum ya kuombea pepo la kulima na kuvuta bangi mkoani Ruvuma liondoke ili kunusuru jamii.Mndeme alikuwa anazungumza wakati anahitimisha maombi ya siku tisa katika kanisa la Morovian Msamala mjini Songea .Maombi hayo yameshirikisha umoja wa makanisa tisa mjini Songea.TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=AMODli52ZaM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.