MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas aliyevaa kofia nyeusi ametembelea na kupata Maelezo kutoka kwa mtoa huduma katika moja ya Banda la maonesho ya nane nane la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ndani ya viwanja vya John Mwakangale Uyole Mbeya
Maonesho hayo ya kitaifa yalifunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango Agosti Mosi 2023 jijini Mbeya .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.