Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Mhe.Simon Chacha ametoa pole kwa wananchi wa kata ya Mbati walioathirika na ajali ya moto iliyosababisha uharibifu wa mali
“Naungana nanyi katika kipindi hiki kigumu na hakikisheni mnachukua tahadhari zaidi ili kuepuka majanga kama haya””,Alisisitiza Chacha
Mhe.Chacha amewataka wananchi wawatumie mafundi umeme wanao fahamika katika kuwawekea mfumo wa umeme katika nyumba zao .
Amemuagiza Meneja wa TANESCO Wilaya Tunduru Ndg. Jackson Lowasa amrudishe Mkandarasi aliye fanya kazi ya kuweka umeme katika Kata ya Mbati ili aweze kurekebisha na Kurudisha huduma ya umeme kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.