SERIKALI kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu katika shule za msingi inatarajia kutoa fedha za ujenzi wa shule mpya ya msingi ya Mbulani Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma sanjari na kutoa fedha za ukarabati wa miundombinu ya shule ya msingi ya Mbulani ya sasa.
Hata hivyo serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 43 kupitia ufadhili ambazo zimejenga madarasa mawili mapya ya kisasa ambayo tayari yameanza kutumika na yamezinduliwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.