Muonekano wa baadhi ya majengo ya hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Serikali imetoa mabilioni ya fedha kutekeleza mradi wa ujenzi wa hospitali hii ya wilaya katika awamu tofauti.Hopsitali hii imekuwa kimbilio la wananchi wengi wilayani humo,ambao awali walikuwa wanasafiri umbali mrefu hadi hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Songea kupata huduma za matibabu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.