SERIKALI mkoani Ruvuma imetangaza rasmi kuwa mji wa Mbambabay uliopo mwambao mwa ziwa Nyasa,ambao ni makao makuu ya wilaya ya Nyasa ni kitovun cha utalii katika Mkoa wa Ruvuma.Tamasha la utalii la Mkoa wa Ruvuma ambalo liliasisiwa na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya,linatarajiwa kufanyika tena Desemba 18 hadi 20 mwaka huu mjini Mbambabay lengo likiwa ni kutangaza fukwe na utalii wa kiutamaduni katika Mkoa wa Ruvuma ambao umesheheni ngoma mbalimbali zikiwemo mganda na kioda.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.