MWENGE WA UHURU KUTEMBELEA MIRADI 72 RUVUMA
Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 unatarajia kutembelea miradi 72 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46 mkoani Ruvuma.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed wakati anazungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea.
Mwenge wa Uhuru 2024 unatarajia kuanza kukimbizwa mkoani Ruvuma Juni 8,2024 hadi Juni 15,2024 ambao utakimbizwa katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.