Mwenge wa uhuru unaendelea na mbio zake wilayani Songea mkoani Ruvuma umemaliza katika Halmashauri ya Madaba baada ya kukagua miradi kumi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.4.
Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa katika Halmashauri ya Songea ndani ya viwanja vya shule ya msingi Peramiho unapitia miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.6
Mwenge wa uhuru upo mkoani Ruvuma hadi Mei 17 utakapokabidhiwa mkoani Mtwara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.