Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 ameweka jiwe la msingi ujenzi wa vyumba kumi vya madarasa na matundu kumi ya vyoo vinavyogharimu zaidi ya shilingi milioni 256 katika shule ya sekondari Londoni Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2004 ina wanafunzi wanaosoma kidato cha kwanza hadi cha sita wapatao 1,399
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.