Pichani kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ofisini kwake mjini Songea.
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.Kushoto picha ya chini ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.