Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya mkulima yaliyofanyika kwenye viwanja vya shamba la mbegu Namtumbo lenye ukubwa wa hekta 3,580.
Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kwenye shamba la mbegu Namtumbo katika msimu wa mwaka 2023/2024 linatarajia kuzalisha zaidi ya tani1,275 za mbegu za mazao mbalimbali yakiwemo mahindi na alizeti.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.