Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kwenye Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la Anglikana Lituhi wilayani Nyasa Dayosisi ya Ruvuma ambapo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imechaangia shilingi milioni nne na mifuko kumi ya saruji
Katika harambee hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) Mheshimiwa Jenista Mhagama amemwakilisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ambapo jumla ya shilingi milioni 52.3 zimekusanywa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.