UJENZI OFISI ZA SIDO NYASA WAKAMILIKAUjenzi wa Ofisi za Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo vidogo(SIDO) umekamilika katika Kijiji Cha Nangombo, Wilayani nyasa mkoani Ruvuma.Kukamilika Kwa Ofisi hii kutawawezesha wananchi wa Nyasa kuchakata mazao ya uvuvi mihogo na bidhaa zingine.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.