MSTAHIKI Meya Manispaa ya Songea mkoani Mheshimiwa Michael Mbano Ruvuma amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu kwa kuleta fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa hiyo.
Mbano amesema Manispaa ya Songea imeendelea kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo ikiwemo na mradi wa barabara wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 22 na mradi wa mitaro ya maji wenye thamani ya shilingi bilioni. 157.
Miradi mingine ameitaja kuwa ni ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Amali unaojengwa kwa Bil. 1.6, Ujenzi wa shule ya Kata ya Ruhuwiko wenye thamani ya Mil. 560.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.