Timu ya RAS Ruvuma imeifunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje katika mpira wa pete (Netball ) j kwa jumla ya mabao 29 kwa 24 kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani morogoro ndani ya uwanja wa Jamhuri
Ushindi huo wa kwanza kwa timu ya RAS RUVUMA umepatikana katika mchezo uliofanyika leo Oktoba 24 mwaka huu.
Mashindano hayo yamefunguliwa rasmi Oktoba 23 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philipo Mpango
.Mashindano hayo ya kitaifa ,yatafanyika kwa siku 14 yakishirikisha mikoa,wizara na Taasisi mbalimbali za umma.
Picha zinaonesha wachezaji na viongozi wa Timu ya RAS Ruvuma wakiwa kwenye Mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani Morogoro.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.