MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amepiga marufuku mabasi ya abiria kupakia abiria katika stendi ya mabasi ya Mfaranyaki mjini Songea ambapo amesema stendi hiyo itatumika kushusha abiria na kuondoka na kwamba dereva yeyote ambaye atakiuka sheria hiyo atachukuliwa hatua za kisheria.
RC Ibuge ametoa agizo hilo wakati anazungumza na wadau wa usafirishaji mjini Songea katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Tazama habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=4gpOCn0r9xg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.