MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza matangazo ya vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma yawekwe katika kiwanja cha ndege cha Songea ili viweze kufahamika kwa watalii watakaokuwa wanafika mkoani Ruvuma kupitia kiwanja hicho ambacho kinatarajia kuanza kuruhusu kutua ndege kubwa katikati ya mwezi Januari 2020.Soma habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=0XTYt4Zp1fk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.