Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amewaagiza madiwani na wataalam katika Halmashauri ya Nyasa kuhakikisha katika msimu ujao wa kilimo wanafufua mazao ya mchikichi na kokoa ili wakulima waweze kulima kibiashara na kuinua uchumi wao na Taifa.Alikuwa anazungumza katika kikao maalum cha CAG mjini Mbambabay.SOMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=ROVqZxWTKGU&t=7s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.