Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge ambaye amehamia Mkoa wa Ruvuma akitokea Mkoa wa Dar es salaam amewasili leo katika kituo chake kipya cha kazi ambapo amepokelewa na watumishi walioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ambaye pia amehamia Mkoa wa Ruvuma akitokea Mkoa wa Mtwara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.