Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akimkaribisha Balozi wa Mazingira na Uhamasishaji wa Maendeleo Nchini Michael Msechu kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea ,Balozi huyo yupo mkoani Ruvuma kuungana na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma katika tamasha la utamaduni la kitaifa la tatu ambalo limezunduliwa leo na Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.