Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, mapema hii leo Februari 23,2023 amezindua wiki ya kumbukizi ya miaka 117 ya mashujaa wa vita ya Majimaji ambapo kilele chake ni Februari 27,2023.Uzinduzi huo umefanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.