Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amepiga marufuku wafanyabiashara kuwatumia watoto kuuza bidhaa kwini ni kosa kisheria ambalo linasababaisha kuwakosesha masomo na haki za zao msingi.
Agizo hilo amelitoa hivi kabiruni akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mipango uliopo ofisini kwake akiwataka waandishi mkoani umo kuibua na kukemea vitendo hivyo kwa kuvilipoti kupitia vyombo vya vya habari ili serikarli iweze kumaliza changamoto kwa watoto. https://youtu.be/gTiqCUYPNQo?si=w0wTXUE3EP26Txm2
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.