Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akipanda mti kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti kimkoa eneo la Gereza la Kitai wilayani Mbinga ambapo miti 4,000 imepandwa kwenye uzinduzi huo.
Mkoa wa Ruvuma unatarajia kupanda miti milioni 4.9 katika maeneo mbalimbali lengo likiwa ni kuhakikisha Mkoa unaendelea kuwa wa kijani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.