Picha inaonesha reli ya Kusini iliyokuwa inakwenda Nachingwea mkoani Lindi ambapo treni ya kwanza ililetwa na wakoloni waingereza na iliwasili Nachingwea Oktoba 25,1949, hivyo serikali ikitekeleza mradi wa ujenzi wa reli ya kusini kutoka Mtwara hadi Mbambay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma na matawi ya reli hiyo yanayotarajia kwenda Liganga na Mchuchuma mkoani Njombe itasaidia kuchochea maendeleo ya mikoa ya kusini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.