SHIRIKA la ndege la ATCL linaanzisha safari za usafiri wa uanga kupitia ndege za serikali kutoka Dar es salaam hadi Songea hivyo kumaliza kiu ya muda mrefu ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kukosa usafiri wa anga kutokana na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Songea ambapo serikali umetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kufanyia ukarabati kiwanja hicho.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=_A2s522i2sM&t=37s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.