SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatarajia kuongeza Wanyama jamii ya simba, chui, fisi,mbuni,kobe na mamba katika bustani ya Ruhila Manispaa ya Songea .
Antony Masebe ni Kamanda wa Kituo Kanda ya Kusini Mashariki amesema utengenezaji wa cages sita unagharimu shilingi milioni 78.Daudi Tesha ni Afisa Mhifadhi katika Bustani ya Luhira amekitaja kiingilio katika bustani hiyo kuwa ni shilingi 2,360 kwa mtu wa kuanzia umri wa miaka 18,chini ya miaka 17 ni shilingi 1180 na kwa Watoto chini ya miaka mitano wanaingia bure hivyo ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa wa Ruvuma na watanzania wote kutembelea bustani hiyo asili.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.