Sekondari maalum ya wasichana inayoitwa Dkt Samia Suluhu Hassan iliyojengwa wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imekuwa inagombewa na wanafunzi wengi kutokana na shule hiyo kuwa na mazingira rafiki ya kusomea watoto wa kike.Shule hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kike zaidi ya 1000 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita tayari imeanza kuchukua wanafunzi ambapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 4.5 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.