Ukumbi wa sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma inayoitwa Dkt Samia Suluhu Hassan wenye uwezo wa kuchukua watu 1,500.Sekondari hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1,000 wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita imejengwa eneo la Migelegele wilayani Namtumbo .Hadi sasa serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 4.45 kutekeleza mradi huo uliofikia zaidi ya asilimia 95 na tayari wanafunzi wameanza masomo .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.