SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 15 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kujenga sekondari mpya za mfano 21 mkoani Ruvuma ikiwemo sekondari maalum ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma inayoitwa Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyojengwa eneo la Migelegele wilayani Namtumbo ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 kutekeleza mradi wa sekondari hiyo ambayo imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza,tano na sita na ina uwezo wa kuchukiua wanafunzi zaidi ya 1000
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.