Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kushoto akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Lous Chomboko pichani kulia wakizungumza jambo baada ya hafla ya makabidhiano ya magari mapya saba yaliyotolewa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuboresha huduma za afya mkoani Ruvuma
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akitabasamu baada ya kukabidhi magari mapya saba kwa ajili ya huduma za afya katika Halmashauri za Wilaya ambapo pamoja na mambo mengine RC Thomas ameagiza magari hayo kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo.Wengine Pichani kulia walioshiriki kwenye hafla hiyo ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Lous Chomboko.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.