SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha sekta ya utalii katika Mkoa wa Ruvuma kwa kutoa fedha za kuboresha miundombinu katika bustani ya asili ya Ruhila iliyopo Manispaa ya Songea.
Bustani ya Ruhila imewekeza kwenye miradi muhimu ili kuboresha huduma kwa watalii ikiwemo Campsite: Jengo lililokamilika kwa Tsh 103,000,000 linalohudumia wageni kwa vinywaji na vyakula.Mabanda ya Utalii: Yaliyojengwa kwa shilingi 20,000,000 kwa madhumuni ya wageni kupumzika na kufurahia mandhari na Swimming Pool: Imegharimu shilingi 62,529,984 na imekamilika kwa ubora wa hali ya juu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.