Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 560 kutekeleza mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika Kata ya Upolo Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohamed Ally imekagua mradi huo ambao umechelewa kukamilika kutokana na changamoto ya barabara.
Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa amesema mradi huo unatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.