Mradi wa ujenzi wa matundu ya vyoo 14 katika shule ya msingi Mtipwili iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. ambapo unatekelezwa kupitia fedha za Huduma za Maji, Elimu ya Afya na Usafi wa Mazingira (School Water, Sanitation and Hygiene- SWASH) hadi kukamilika kwake itagharimu kiasi cha shilingi milioni 37
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.