SERIKALI ya Awamu ya tano chini ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) imetumia shilingi milioni 356 kutekeleza mradi wa maji katika kijiji cha Chimate wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambapo hadi sasa mrai huo ambao umeanza kazi umekamilika kwa asilinia 85.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=XgI9L0Y-WrU&t=70s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.