Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akızüngumza ndani ya kanisa la Abasia ya Peramiho Songea mkoani Ruvuma kwenye sherehe za kusimikwa kwa Abate mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB leo Agosti 24,2024.Adhimisho la Misa takatifu ya kusimikwa na kumbariki Abate mpya wa Peramiho imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea Mhashamu Damian Dallu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.