Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 330 kujenga shule mpya ya msingi katika Kata ya Tinginya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma,mazingira ya kuvutia ikiwemo miundombinu bora ya kujifunzia imekuwa kivutio kwa wanafunzi wanaosoma katika shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 500
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.