TAKWIMU zinaonesha kuwa Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Madaba wilaya Songea mkoani Ruvuma zinaongoza kwa kuwa na idadi ya watu wenye virusi vya ukimwi kwa asilimia zaidi ya kumi huku Wilaya ya Tunduru ikishika mkia kwa asilimia tatu
Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anazungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa Mjini Mbambabay wilayani Nyasa. TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://youtu.be/-O3sw4sDGYA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.