Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti ngazi ya Mkoa wa Ruvuma uliofanyika katika viunga vya hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea eneo la Mwengemshindo Manispaa ya Songea ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza wananchi wote kujitokeza kupanda miti ili kuhifadhi na kulinda mazingira ya Mkoa wa Ruvuma
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea wakiwa kwenye uzinduzi wa upandaji miti ngazi ya Mkoa waa Ruvuma ambapo mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmedd
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.