Pichani Meneja wa Barabara za Viijini na Mjini TARURA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Wahabu Nyamzungu katikati akiwa na mwakilishi wa wakandarasi wa mkoa wa Ruvuma ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ovans Contruction Ltd Valence Urio (kushoto) wakisaini mikataba 41 ya ujenzi wa matengenezo ya barabara za lami na changarawe, madaraja na makalavati ambayo yanakwenda kujengwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo mikataba hiyo ina jumla ya thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 11.3
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.