Timu ya Tulia Trust imewasili mkoani Ruvuma na kufanya mazungumzo na MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali. Ahmed Abbas Ahmed.
Timu hiyo imeweka kambi Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea kwa lengo la kuhakikisha wanaihudumia jamii ya watu wanao ishi kwenye mazingira magumu ili waweze kupata tabasamu kupitia mpango wa TULIA TRUST MTAANI KWETU.
Taasisi hiyo imefika mkoani Ruvuma mara baada ya kupokea maombi kutoka kwa wananchi wa Madaba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Madaba Dkt.Joseph Kizito Mhagama baada ya kuonesha mwananchi anayeishi katika mazingira magumu ndani ya Jimbo la Madaba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.