Miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kutoka mjini Songea mkoani Ruvuma wakiwa kwenye tamasha la miaka 119 ya kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji ndani ya viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea.
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni walengwa wakuu wa tamasha hili ili watambue kuenzi,kutunza na kuiendeleza historia na utamaduni wa Mtanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa tamasha hilo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.