Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma . Philemon Magesa amefanya ukaguzi wa mradi wa sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma ya Dkt Samia Suluhu Hassan majira ya usiku na kukuta Mafundi wanaendelea kuchapa kazi .
Sekondar hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 tayari imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza,tano na sita.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 kutekeleza miundombinu mbalimbali katika shule hiyo ikiwemo Ujenzi wa Bwalo lenye uwezo wa kuchukua watu 1,500.
Serikali inajenga shule maalum za wasichana kila Mkoa hapa nchini ili kuhakikisha mtoto wa kike anapata elimu katika mazingira ya kuvutia na kutimiza ndoto zao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.